وبینار

maisha, mafundisho na urithi wa Mtume Mtukufu wa Mwenyezi Mungu (saww)

Mtandao wa Kimataifa wa Maarifa ya Ahlul-Bayt (as), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo Vikuu

📢 Mtandao wa Kimataifa wa Maarifa ya Ahlul-Bayt (as), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo Vikuu

Kwa furaha kubwa, unawatangazia kufanyika semina maalumu ya kielimu mtandaoni, inayohusu maisha, mafundisho na urithi wa Mtume Mtukufu wa Mwenyezi Mungu (saww).

👤 Wahadhiri mashuhuri:

🔹 Hujjatul-Islamu wal-Muslimina Dkt. Haidary Ali Mshele

  • Mchambuzi wa masuala ya kijamii na kidini

🎓 Mada: Mtume Mtukufu (saww); taa ya uongofu kwa wanadamu katika giza la ujinga na ukosefu wa uadilifu.

🔹 Hujjatul-Islamu wal-Muslimina Sheikh: Athumani Suya Msellem

  • Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu katika Chuo cha Kimataifa cha Almustafa.

🎓 Mada: Mtume Mtukufu (saww); Mwanzilishi wa maadili mema na ubinadamu katika ulimwengu mzima.

🤝 Kwa moyo wa dhati, tunawaalika watu wote wenye shauku, kushiriki katika kikao hiki maalumu cha kielimu na kunufaika na mitazamo yenye thamani ya watafiti na wataalamu mashuhuri.

Siku na muda wa Semina hiyo:

📅 Tarehe: Jumapili, tarehe 27 Septemba 2026

⏰ Muda:

  • Dar es Salaam: 18:30
  • Tehran: 19:00

💻 Namna itakavyo fanyika: Mtandaoni kupitia jukwaa la Google Meet

🔗 Kiunganishi cha kikao:

https://meet.google.com/tor-dmhb-exk

مشاهده بیشتر
زر الذهاب إلى الأعلى